WANA HIP HOP NINAOWAKUBALI TANZANIA!
Sipendi kuwa mnafiki kuwasifu hawa watu kabla hawajafa,uwezo wao kiuandishi umenifanya niseme ni Best MCees East Africa na Afrika kwa ujumla.Hawa ni bora kwangu na nyimbo zao ambazo hazifutiki kichwani mwangu.
(mpangilio hauna maana)
(mpangilio hauna maana)
0 comments: