YOUNG KILLER AJIPANGA UPYA

Young
Killer Msodoki,ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake aliyofanya na
Stamina pamoja na Quick Rocka ngoma ni jana na leo.Pia kwasasa yupo
katika mipango ya kufanya video hiyo.
Akipiga
story alisema.’’Ujio wangu mpya utazidi kiniweka juu,kwani watu ambao
nimefa nya nao kazi ni watu hatari sana,fikiria ngoma hii atakuwa Belle 9
halafu pembeni Ben Paul lazima ishangaze hii,kwasasa siwezi kusema
ngoma itaitwa vipi ila nikiachia ntasema tu producer wangu ni yule yule
Gud mona.watu wajipange zaidi ya jana na leo’’
0 comments: