Mapapa wa madawa ya kulevya watajwa,soma majina yao wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz
Gazeti la
Jamhuri limeendelea kutaja majina ya wauza unga wiki hii likija na
majina na matatu na makazi ya wahusika. Wapo waliotajwa kwa namba za
magari yao.
Yapo majina 240, wako wahusika kutoka nchi za nje, lakini zaidi ya 95% ni watz
Miongoni mwao wamo Mdogo wa Rostam Azziz, aitwaye Assad Azziz (No 23 kwenye list) na mtoto wa Amatus Lyumba aliyekuwa BOT, Morine Amatus Lyumba(No 66 kwenye list)
Nimeyascan majina kutoka kwenye gazeti hapa chini:

Nawasilisiha. jamii mfolum
Source - Gazeti la Jamhuri.

0 comments: