Brazil yajiandaa.....!!!!
Nchi yajawa na msisimko
Siku zinaendelea kuhesabiwa tayari kwa kombe la dunia. Wakati timu ya
taifa ya Brazil ikiendelea kujiimarisha, mashabiki tayari wamejawa na
msisimko. Mashabiki wa kabumbu wa Brazil wanaonekana kuwa machachari
sana kote ulimwenguni, na hata katika picha hii, filimbi zao ni kama
zina kelele nyingi kuliko vigelegele vyao.
0 comments: