mWanafunzi afariki baada yakuzidiwa mazoezi...

Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar.

Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli, analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.

Naendelea kumtafuta msemaji wa JKT kujua upande wao unasemaje.@millad ayo

0 comments: