rapper MABESTE apata kinda jana

yoh msanii mkali toka Bhitz MABEEESTE, amepata mtoto wakiume aliye amua kumpa jina la KENDRICK ,haijajulikana bado kama amepewa jina hilo kutokana mapenzi yake kwa MC wa USA, anayeitwa KENDRICK LAMAAR ama LAH!!!!GWALAH ZA NGUVU kwa mchizi....                  


0 comments: