BEST NEW TRACK KUTOKA KWA RAPPER CHIPUKIZI (B.O.T MTANZAHURU - TANZANIA HURU)


<iframe src="http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=nri4imj0j30g" scrolling="no" frameborder="0" width="100%" height="197px"></iframe>

0 comments:

VOTE FOR JOH MAKER (MSANII BORA CHIPUKIZI) KILIMANJARO MUSIC AWARD 2014.


HATUA ZA KUZINGATIA
  1. Chukua simu yako
  2. Ingia kwenye uwanja wa Messege
  3. Andika neno: 23JOH MAKER
  4. Kisha utume kwenda namba: 15440

0 comments:

Mnyaa ataka bunge livunjwe

Mbunge wa Mkanyageni (CUF), Mohammed Habib Mnyaa, ameshauri Mkutano wa Bunge Maalumu la Katiba unaoendelea uahirishwe kwa mwezi mmoja au miwili.


Amesema hilo litasaidia kuepusha uvunjifu wa amani unaoweza kutokea nchini kutokana na mivutano iliyokithiri ndani ya Bunge hilo, ambayo hatima yake haitabiriki.
Learn more »

0 comments:

Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwezi huu

Serikali  imetangaza kuwajiri walimu wapya 36,071 mwaka huu ambao majina yao yanatarajia kutangazwa katikati ya mwezi huu (Machi) na watatakiwa kwenda kuripoti katika vituo vyao vya kazi Aprili mosi mwaka huu.

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa, aliyasema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha Kumepambazuka jana kinachorushwa na Radio One.
Learn more »

0 comments:

Kura ya ndiyo, siri bado mwiba bungeni

Bunge Maalum la Katiba limeendelea kugawanyika kutokana na wajumbe kutoafikiana kuhusu utaratibu wa kupitisha vifungu vya Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo, huku Mwenyekiti wa Muda, Pandu Ameir Kificho, akitaka rasimu hiyo ipitishwe kwa kuhojiwa kwa uwazi wanaosema ‘ndiyo au hapa.’


Hali hiyo ilianza kujitokeza jana asubuhi baada ya Kificho kuwaeleza wajumbe kuhusu utaratibu utakaotumika kuboresha Rasimu ya Kanuni hiyo.
Learn more »

0 comments:

Rapper MTANZAHURU.......atambulisha track yake

Rapper mkari anayechipukia  MTANZAHURU  ametamburishatrack yake mpya hivi karibuni kwa habari kamili zitawafikia hivi punde...na kwa wale watakaopenda kuidowload wataipata...


0 comments:

MZAWA is baccccckkkkkkkkk

aje aje ma fans wa mzawa blogspot? leo mzawa inarudi rasmi so stay ready...................................................






0 comments: