YALIYOJIRI ULIMWENGUNI.
Showing posts with label michezo. Show all posts
Yanga sikio la kufa
Mabingwa
Yanga waliendeleza mwanzo mbaya wa msimu wakati walipokumbana na kipigo
cha magoli 3-2 kutoka kwa Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam jana.
Matokeo hayo yaliwaacha Yanga wakiwa na pointi 6 baada ya mechi tano, wakitoka sare tatu mfululizo kabla ya kipigo cha jana.
Learn more »
Matokeo hayo yaliwaacha Yanga wakiwa na pointi 6 baada ya mechi tano, wakitoka sare tatu mfululizo kabla ya kipigo cha jana.
Learn more »
MECHI ZA LEO NA KESHO ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE: HENRY KUIAGA VIZURI ARSENAL?
| Lyon | APOEL | |||
| Referee: Paolo Tagliavento (ITA) – Stadium: Stade de Gerland, Lyon (FRA) | ||||
| Leverkusen | Barcelona | |||
| Referee: Craig Thomson (SCO) – Stadium: Bay-Arena, Leverkusen (GER) | ||||
| Zenit | Benfica | |||
| Referee: Jonas Eriksson (SWE) – Stadium: Stadion Petrovskiy, St Petersburg (RUS) | ||||
| Milan | Arsenal | |||
Rufaa ya Yanga utata
Shirikisho la Soka (TFF)
Kocha Yanga aruhusu kutopasiana Sokoine
Kocha
wa Yanga, Ernest Brandts, amesema mchezo wa leo wa ligi kuu dhidi ya
timu ya Mbeya City ya hapa utakuwa mgumu kwa mabingwa wa soka wa Bara
hao kutokana na ubovu wa Uwanja wa Sokoine ambao utawafanya washindwe
kucheza mpira waliojifunza.
Learn more »
Learn more »
khedira:man u walinitaka
Kiungo wa
Real Madrid Sami Khedira amethibitisha kwamba klabu ya Manchester United
ilituma ofa ya £34million kumsaini masaa kadhaa kabla ya dirisha la
usajili halijafungwa.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ujerumani alitakiwa na kocha David Moyes wakati United walipokuwa na presha ya kufanya usajili kabla ya dirisha la usajili kufungwa saa tano usiku kwa saa za Uingereza.
Madrid walikuwa wanajaribu kuweka sawa vitabu vya hesabu baada ya kuvunja rekodi ya usajili kwa kumnunua Gareth Bale kwa ada ya uhamisho wa £86million lakini baada ya kumuuza Ozil ikabidi wakatae ofa ya United kumsaini Khedira.
'Klabu yangu ilikataa ofa kutoka kwa United.
'Hatukuwa na nafasi ya kufanya mazungumzo. Niliongea na Carlo Ancelotti wiki kadhaa zilizopita na ilikuwa wazi kwamba ningebaki Real.'

PAMOJA NA KUMSAJILI FELLAINI,TATIZO KUBWA LA MANCHESTER UNITED NI KUTOKUWA NA MAWINGA MACHACHARI.……
Taarifa kamili wa usajiri wa hivi punde,Balle,Feraine.........
Leo September 2 ya mwisho ya dirisha la usajili barani ulaya - vilabu kadhaa vimekuwa busy katika siku hii kuhakikisha wanaimarisha timu zao. Mtandao huu utakuwa unakuletea taarifa zote zinazohusiana na usajili barani ulaya. Ungana nasi.................
Learn more »
Learn more »
Hatimaye Kiggy kupasuliwa India wiki ijayo
Hatimaye
kiungo wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Kiggy Makasy,
anatarajiwa kuondoka nchini Jumatatu ijayo ya Septemba 9 mwaka huu
kwenda India kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa goti la kulia imeelezwa
jana na uongozi wa klabu hiyo.
Learn more »
Learn more »
Subscribe to:
Posts (Atom)
Copyright © 2013 MZAWA