TAARIFA:
TAASISI YA KINASA (KISWAHILI NA SANAA) KWA MARA NYINGINE TENA
WANAENDELEA KUKULETEA ONESHO LA WAZI,SIKU YA JUMAPILI TAREHE 27/11/2016.
TEMEKE MADENGE. MICHANO,USHAIRI,UCHORAJI NA SANAA MBALIMBALI ZITAKUWEPO. WOTE MNAKARIBISHWA. IMETOLEWA NA AFISA HABARI KINASA OMARY MKAMBARA.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, limemkamata Isaack Habakuk Emily, kwa kosa la kumtukana Rais John Magufuli na kwamba hawezi fananishwa na Nyerere na kusambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii.
mtuhumiwa huyo alikamatwa Machi 22 mwaka huu eneo la Hotel ya Anex jijini humo
baada ya kutuma ujumbe huo uliwaudhi watu wengi waliopokea ujumbe huo na kuwakwaza, hali iliyosababisha kupeleka malalamiko yao Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka hiyo ilitoa taarifa polisi na hatua za kisheria zilianza kuchukuliwa.
NB: Tutumie vema mitandao si kuchafuana na kudhalilishana si vema Tuwaheshimu viongozi wetu hata kama kuna ujumbe tunataka kuwafikishia tuzingatie lugha thabiti na si lugha chafu!!!!!!!
MZAWA IMERUDI TENA HEWANI
kutokana na matatizo ya kiufundi tuliweza kupotea hewani ila sasa tumerudi tena
Pichani ni Mwanzilishi wa Mzawa Inc alipokuwa akisherehekea kuhitimu shahada
yake ya kwanza ya SAYANSI KATIKA HISABATI NA TAKWIMU
Alipohojiwa alisema " sasa tumerudi kazini tena kwa mala nyingine changamoto zilikua ni nyingi zikiwemo masomo pia ila tuzidi kumuomba Mungu azidi kutupa nguzu za kuelimisha kizazi chake "