AKAMATWA KWA KUMTUKANA MH RAIS MAGUFULI MTANDAONI (FACEBOOK)

Image result for magufuli

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, limemkamata Isaack Habakuk Emily, kwa kosa la kumtukana Rais John Magufuli na kwamba hawezi fananishwa na Nyerere na kusambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii.

mtuhumiwa huyo alikamatwa Machi 22 mwaka huu eneo la Hotel ya Anex jijini humo

baada ya kutuma ujumbe huo uliwaudhi watu wengi waliopokea ujumbe huo na kuwakwaza, hali iliyosababisha kupeleka malalamiko yao Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka hiyo ilitoa taarifa polisi na hatua za kisheria zilianza kuchukuliwa.

 NB: Tutumie vema mitandao si kuchafuana na kudhalilishana si vema Tuwaheshimu viongozi wetu hata kama kuna ujumbe tunataka kuwafikishia tuzingatie lugha thabiti na si lugha chafu!!!!!!!

 

0 comments: