Mbunge
wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr. Sugu,
anakusudia kuwasilisha kwa hati ya dharura muswada binafsi wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 wenye lengo la
kurekebisha kifungu cha 25 cha sheria hiyo kinachotumiwa vibaya na
mawaziri kufungia/kusitisha uchapishaji wa magazeti.
Learn more »
0 comments: