Padre Mwang`amba ahamishiwa Muhimbili Aliyemmwagia tindikali kupatikana kirahisi
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka
polisi kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matukio ya watu kumwagiwa
tindikali, ili wahusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Kocha
wa Yanga, Ernest Brandts, amesema mchezo wa leo wa ligi kuu dhidi ya
timu ya Mbeya City ya hapa utakuwa mgumu kwa mabingwa wa soka wa Bara
hao kutokana na ubovu wa Uwanja wa Sokoine ambao utawafanya washindwe
kucheza mpira waliojifunza. Learn more »
Asema tofauti viwango vya elimu italiangamiza taifa
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameonya kuwa
taifa linakabiliwa na tabaka litakaloibua mgawanyiko miongoni mwa jamii,
kutokana na uwiano wa viwango usio sawa kwa shule zilizopo nchini.
Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema)
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu,
ameibua kidedea katika shauri la rufaa iliyokatwa, dhidi ya hukumu
iliyotolewa na Mahakama Kuu iliyomthibitisha ubunge wake.
Kiungo wa
Real Madrid Sami Khedira amethibitisha kwamba klabu ya Manchester United
ilituma ofa ya £34million kumsaini masaa kadhaa kabla ya dirisha la
usajili halijafungwa. Kiungo
huyo wa kimataifa wa Ujerumani alitakiwa na kocha David Moyes wakati
United walipokuwa na presha ya kufanya usajili kabla ya dirisha la
usajili kufungwa saa tano usiku kwa saa za Uingereza. Madrid
walikuwa wanajaribu kuweka sawa vitabu vya hesabu baada ya kuvunja
rekodi ya usajili kwa kumnunua Gareth Bale kwa ada ya uhamisho wa
£86million lakini baada ya kumuuza Ozil ikabidi wakatae ofa ya United
kumsaini Khedira.
'Klabu yangu ilikataa ofa kutoka kwa United. 'Hatukuwa
na nafasi ya kufanya mazungumzo. Niliongea na Carlo Ancelotti wiki
kadhaa zilizopita na ilikuwa wazi kwamba ningebaki Real.' Learn more »