YALIYOJIRI ULIMWENGUNI.
Taarifa kamili wa usajiri wa hivi punde,Balle,Feraine.........
Leo September 2 ya mwisho ya dirisha la usajili barani ulaya - vilabu kadhaa vimekuwa busy katika siku hii kuhakikisha wanaimarisha timu zao. Mtandao huu utakuwa unakuletea taarifa zote zinazohusiana na usajili barani ulaya. Ungana nasi.................
Learn more »
Learn more »
Hatimaye Kiggy kupasuliwa India wiki ijayo
Hatimaye
kiungo wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Kiggy Makasy,
anatarajiwa kuondoka nchini Jumatatu ijayo ya Septemba 9 mwaka huu
kwenda India kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa goti la kulia imeelezwa
jana na uongozi wa klabu hiyo.
Learn more »
Learn more »
Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya
Wamo CCM, Chadema
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk. Khamis Kigwangallah,
amesema amepokea majina ya wabunge, viongozi wa serikali na
wafanyabiashara maarufu nchini ambao ni mapapa wanaojihusisha na
biashara ya dawa za kulevya.
Learn more »
Dk. Khamis Kigwangallah
Waziri Kagasheki: Kashfa nzito
Kambi
ya Upinzani Bungeni imemshushia tuhuma nzito Waziri wa Maliasili na
Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (pichani), ikiwamo ya kushinikiza
mradi upewe msaada wa Sh. milioni 10 kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro (NCAA) kinyume cha taratibu.
Learn more »
Learn more »
Kanisa lachomwa moto upande mmoja wa paa
Watu
wasiofahamika wamefanya jaribio la kuchoma moto upande mmoja wa paa la
nyumba ya ibada ya waumini wa dini ya kikristo ijulikanayo kama
Listuliation Bible Church, iliyopo katika eneo la Kisosora jijini hapa.
Learn more »
Learn more »
Watendji wabovu kucharazwa viboko
Diwani
wa kata ya Busonzo wilayani Bukombe amewaagiza wananchi kuwakamata na
kuwacharaza viboko watendaji na wenyeviti wa vitongoji wanaoshirikiana
na matapeli kuwaibia watu wanaotuhumiwa kuwa wahamiaji haramu.
Learn more »
Learn more »
Subscribe to:
Posts (Atom)
Copyright © 2013 MZAWA
