YALIYOJIRI ULIMWENGUNI.
Sugu kuwasilisha muswada binafsi
Mbunge
wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr. Sugu,
anakusudia kuwasilisha kwa hati ya dharura muswada binafsi wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 wenye lengo la
kurekebisha kifungu cha 25 cha sheria hiyo kinachotumiwa vibaya na
mawaziri kufungia/kusitisha uchapishaji wa magazeti.
Learn more »
Learn more »
Watahiniwa 32 wazuiwa kufanya mtihani
Watahiniwa
32 katika Shule ya Sekondari Kulio iliyopo wilayani Chemba mkoani
Dodoma wamezuiliwa kufanya mtihani wa kidato cha nne kwa sababu siyo
wanafunzi halali.
Learn more »
Learn more »
Serikali yarudisha daraja sifuri
Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imebatilisha uamuzi wake wa kubadili
mfumo wa upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya kidato cha nne
kama ilivyotolewa awali kwa kurudisha daraja sifuri.
Learn more »
Learn more »
Sengondo Mvungi apigwa mapanga
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, amelazwa katika
Kitengo cha Uangalizi Maalumu (ICU) Taasisi ya Mifupa (Moi) kwenye
Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kushambuliwa kwa mapanga na watu
wanaoaminika kuwa ni vibaka.
Learn more »
Learn more »
CCM sasa yawaonya wanaoanza kuwapigia `debe` wanaofaa urais
Chama
Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa wanachama wake wakiwamo wabunge
ambao wameanza tabia ya kutangaza kuwa wangependa viongozi fulani
wagombee urais bila kufahamu kuwa kufanya hivyo kutaleta mgawanyiko
ndani ya Chama.
Learn more »
Learn more »
Subscribe to:
Posts (Atom)
Copyright © 2013 MZAWA