Yanga sikio la kufa

Mabingwa Yanga waliendeleza mwanzo mbaya wa msimu wakati walipokumbana na kipigo cha magoli 3-2 kutoka kwa Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Matokeo hayo yaliwaacha Yanga wakiwa na pointi 6 baada ya mechi tano, wakitoka sare tatu mfululizo kabla ya kipigo cha jana.

Learn more »

0 comments:

Gharama za matibabu Muhimbili zapanda maradufu

  Upasuaji sasa ni nusu milioni, kitanda 20,000 kwa siku
Hospitali ya Taifa Muhimbili
Gharama za huduma  za kulipia matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili zimepanda maradufu.
Hatua hiyo inayotekelezwa bila kuwashirikisha wadau na watoa huduma ilianza Septemba mosi mwaka huu na kulalamikiwa na wagonjwa na wafanyakazi.
Learn more »

0 comments:

Mbaroni kwa kuchochea kuususia Mwenge

Polisi mkoani Mtwara, imewatia mbaroni  watu watatu, wakiwamo wawili wa familia moja kwa tuhuma za kukutwa na vipeperushi vinavyokataza wananchi kushiriki mbio za Mwenge wa Uhuru, uliofika  mkoani humo wiki iliyopita.
Learn more »

0 comments:

Saa inayojua umaarufu wako mtandaoni!

saa mpya imegunduliwa na kampuni ya Nissan ambayo inaweza kugundua umaarufu wako katika mitandao kama twitter na facebook

0 comments:

Boko Haram wafanya mashambulizi Abuja

Vikosi vya usalama nchini Nigeria, visema kuwa vishambuliwa na wapiganaji wa kiisilamu , Boko Haram, mjini Abuja.
Vikosi hivyo vimesema kuwa watu kadhaa walijeruhiwa wakati wapiganaji hao walipowafiatulia risasi maafisa waliokuwa wanatafuta silaha haramu.
 
Mapigano haya yanakuja siku tatu baada ya shambulio lengine lililofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram katika jimbo la Borno.
Learn more »

0 comments:

AU kujadili hoja ya kujiondoa ICC

Viongozi wa Afrika wanatarajiwa kukutana mwezi ujao mjini Addis Ababa Ethiopia, kujadili msimamo wa bara hili kuhusu iwapo watajiunga na Kenya katika kujiondoa kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifiu - ICC.
 
Mkutano huo unafuatia ombi la Kenya kutaka kikao cha dharura cha Umoja wa Afrika kujadili kesi zinazowakabili Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto.
Learn more »

0 comments:

Dk. Slaa avunja uongozi wote wa wilaya ya Kyela

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amevunja uongozi mzima wa chama hicho wilayani Kyela kwa madai kuwa viongozi hao hawakuwa waadilifu.
Learn more »

0 comments:

Shahidi afia kizimbani akitoa ushahidi

Katika hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Kijiji cha Lorwe Kata ya Nyahongo Shirati, wilayani Rorya, mkoani Mara, Charles Warito (38), ambaye ni shahidi wa  mlalamikaji  katika Kesi ya kudhuru mwili kwa kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa mkono na kusababisha ulemavu amefariki dunia, wakati akitoa ushahidi.
Learn more »

0 comments:

Mbowe, Lipumba, Mbatia wawasha moto wa katiba

Vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na Chadema  vimeanza kuwasha moto wa katiba baada ya kuanza kukutana na viongozi wa Jukwaa la Katiba Tanzania ikiwa ni harakati za kupinga mchakato wa katiba mpya kwa madai kuwa umehodiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Learn more »

0 comments:

Ponda anyimwa dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, anayekabiliwa na mashtaka ya kukaidi amri halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa.
Learn more »

0 comments:

Mchakato sheria dhidi ya dawa za kulevya waanza

Mchakato wa kuanzisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya umeanza kuiva, baada ya serikali kupeleka sheria ya zamani katika vyuo vikuu vya sheria na katika taasisi zisizokuwa za kiserikali ili wadau waichambue na kutoa maoni yatakayowezesha kupatikana kwa  sheria madhubuti itakayokidhi hali halisi ya kukabiliana na tatizo hilo.
Learn more »

0 comments:

MECHI ZA LEO NA KESHO ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE: HENRY KUIAGA VIZURI ARSENAL?








Lyon APOEL
Referee: Paolo Tagliavento (ITA) – Stadium: Stade de Gerland, Lyon (FRA)
Leverkusen Barcelona
Referee: Craig Thomson (SCO) – Stadium: Bay-Arena, Leverkusen (GER)
15 February 2012
Zenit Benfica
Referee: Jonas Eriksson (SWE) – Stadium: Stadion Petrovskiy, St Petersburg (RUS)
Milan Arsenal

0 comments:

Rufaa ya Yanga utata

  `Haiwezi kusikilizwa` kikanuni
Shirikisho la Soka (TFF)
Rufaa ya Yanga kuomba kurudiwa kwa mechi yao ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya
Learn more »

0 comments:

Wafanyabiashara wengine mbaroni kesi ya mauaji ya bilionea Msuya

Sakata la mauaji ya mfanyabiasha bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), limechukua sura mpya baada Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kuwashikilia wafanyabiashara wengine wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara huyo.
Learn more »

0 comments:

Kesi dhidi ya Pinda Oktoba 18

Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itasikiliza kesi ya  Kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wakiomba mahakama hiyo itoe tafsiri za kisheria katika baadhi ya Ibara Oktoba 18.
Learn more »

0 comments:

Itikafu ya Ponda yatangazwa

Wakati hatma ya dhamana kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, inatarajiwa kujulikana leo katika kesi ya uchochezi inayomkabili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, ujumbe mfupi wa simu za mkononi (sms) umesambazwa ukiwahimiza Waislamu kukutana msikitini kwa itikafu.
Learn more »

0 comments:

Mwakyembe: Wafanyakazi haramu JNIA kukiona

Baada ya kufanikiwa kuwadhibiti wasafirishaji dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es Salaam, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema sasa atakabiliana na waajiriwa haramu katika uwanja huo.
Akizungumza jana na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali, Dk. Mwakyembe alisema baada ya kupata malalamiko ya kuwepo na wafanyakazi ambao ni wahamiaji haramu na kuajiriwa katika ofisi mbalimbali uwanjani hapo, anatarajiwa kufanya msako wa kushitukiza ili kuwabaini.
“Nawashukuru sana kwa kunipa taarifa ya kuwepo wafanyakazi haramu, lakini naomba Jumatatu nipate taarifa kamili ili niweze kufanya msako wa kushitukiza kuwanasa…hawa ndio
Learn more »

0 comments:

Kiwanda cha silaha chagundulika Morogoro

Kiwanda bubu cha kutengeneza silaha za aina mbalimbali ikiwemo bunduki aina ya gobore na bastola, kimebainika kuwepo kati kati ya mji wa Morogoro, katika eneo la kwa Mavumila.
Eneo hilo ni maarufu kwa utengenezaji wa funguo, ambapo watu kadhaa wamekamatwa na wanahojiwa na polisi kutokana na tukio hilo.
Learn more »

0 comments:

Dawa za uchungu zatumika kutolea mimba Dar

Dawa za kuchochea uchungu kwa wajazito zikiwamo ‘misoprostol’ , ‘oxytocin’ , `Mifecon-Mkit’ kupatikana kiholela kwenye maduka ya dawa kumechochea utoaji mimba kufanyika bila hofu wala kipingamizi.
Utoaji mimba wa kutumia dawa hizo na njia nyingine za kienyeji unafanyika kwenye mazingira duni, kwa kutumia vifaa vichafu wanavyotumia wauguzi ‘vishoka’ .
Learn more »

0 comments:

Shein: Ni ukatili

 
  Padre Mwang`amba ahamishiwa Muhimbili
  Aliyemmwagia tindikali kupatikana kirahisi
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka polisi kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matukio ya watu kumwagiwa tindikali, ili wahusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Learn more »

1 comments:

Kocha Yanga aruhusu kutopasiana Sokoine

Kocha wa Yanga, Ernest Brandts, amesema mchezo wa leo wa ligi kuu dhidi ya timu ya Mbeya City ya hapa utakuwa mgumu kwa mabingwa wa soka wa Bara hao kutokana na ubovu wa Uwanja wa Sokoine ambao utawafanya washindwe kucheza mpira waliojifunza.
Learn more »

0 comments:

ZANZIBAR SI SHWARI: Padre amwagiwa tindikali

Hali ya usalama kwa watu visiwani inazidi kutetereka, huku viongozi wa Kanisa Katoliki, wakizidi kushambuliwa.


Safari hii, Padre Joseph Mwang’amba wa Parokia ya Machui mjini hapa, amemwagiwa maji yanayoaminika kuwa tindikali.
Learn more »

0 comments:

Sumaye 'afyatuka tena


  Asema tofauti viwango vya elimu italiangamiza taifa
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameonya kuwa taifa linakabiliwa na tabaka litakaloibua mgawanyiko miongoni mwa jamii, kutokana na uwiano wa viwango usio sawa kwa shule zilizopo nchini.
Learn more »

0 comments:

RUFAA YA UBUNGE: Lissu aibuka kidedea


  Ajigamba: rufaa haikuwa na 'kichwa wala miguu'
Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema)
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ameibua kidedea katika shauri la rufaa iliyokatwa, dhidi ya hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu iliyomthibitisha ubunge wake.
Learn more »

0 comments:

khedira:man u walinitaka

Kiungo wa Real Madrid Sami Khedira amethibitisha kwamba klabu ya Manchester United ilituma ofa ya £34million kumsaini masaa kadhaa kabla ya dirisha la usajili halijafungwa. 
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ujerumani alitakiwa na kocha David Moyes wakati United walipokuwa na presha ya kufanya usajili kabla ya dirisha la usajili kufungwa saa tano usiku kwa saa za Uingereza. 
Madrid walikuwa wanajaribu kuweka sawa vitabu vya hesabu baada ya kuvunja rekodi ya usajili kwa kumnunua Gareth Bale kwa ada ya uhamisho wa  £86million lakini baada ya kumuuza Ozil ikabidi wakatae ofa ya United kumsaini Khedira. 

'Klabu yangu ilikataa ofa kutoka kwa United. 
'Hatukuwa na nafasi ya kufanya mazungumzo. Niliongea na Carlo Ancelotti wiki kadhaa zilizopita na ilikuwa wazi kwamba ningebaki  Real.'

0 comments:

majina ya wachezaji na timu walizoamia

Confirmed- Nani kaenda wapi..

Morgan Amalfitano [Marseille - West Brom] Loan

Victor Anichebe [Everton - West Brom] £6m

Marko Arnautovic [Werder Bremen - Stoke] Undisclosed

Benoit Assou-Ekotto [Tottenham - QPR] Loan

Barry Bannan [Aston Villa - Crystal Palace] Undisclosed

Gareth Barry [Man City - Everton] Loan

Hamza Bencherif [Notts County - Plymouth] Free

Fabio Borini [Liverpool - Sunderland] Loan

Harry Bunn [Manchester City - Sheffield United] Loan

Jacob Butterfield [Norwich - Middlesbrough] Undisclosed

Paul Caddis [Swindon - Birmingham] Undisclosed

Raphael Calvet [Auxerre - Brentford] Undisclosed

Lee Camp [Norwich - West Brom] Free

Tom Carroll [Tottenham - QPR] Loan

Graham Cummins [Preston - Rochdale] Loan

Florent Cuvelier [Stoke - Sheffield United] Undisclosed

Andrea Dossena [Napoli - Sunderland] Undisclosed

Marouane Fellaini [Everton - Man Utd] £27.5m

Liam Fontaine [Bristol City - Yeovil] Loan

Marko Futacs [Leicester - Diosgyori VT] Loan

Gedo [Al Ahly - Hull] Loan

Danny Green [Charlton - MK Dons] Loan

Tiago Ilori [Sporting Lisbon - Liverpool] £7m

Stephen Ireland [Aston Villa - Stoke] Loan

Brian Jensen [Burnley - Bury] Free

Kaka [Real Madrid - AC Milan] Free

Kei Kamara [Sporting Kansas City - Middlesbrough] Undisclosed

Michael Kightly [Stoke - Burnley] Loan

Libor Kozak [Lazio - Aston Villa] £7m

Niko Kranjcar [Dynamo Kiev - QPR] Loan

Genseric Kusunga [FC Basel - Oldham] Free

Romelu Lukaku [Chelsea - Everton] Loan

Georg Margreitter [Wolves - FC Copenhagen] Loan

Adrian Mariappa [Reading - Crystal Palace] Undisclosed

Emmanuel Mayuka [Southampton - Sochaux] Loan

James McCarthy [Wigan - Everton] Undisclosed

Stephen McLaughlin [Nottingham Forest - Bristol City] Loan

Victor Moses [Chelsea - Liverpool] Loan

Dany N'Guessan [Millwall - Swindon] Free

David Noble [Rotherham - Cheltenham] Loan

James O'Connor [Derby - Bristol City] Loan

Peter Odemwingie [West Brom - Cardiff] £2.25m

Bradley Orr [Blackburn - Blackpool] Loan

Mesut Ozil [Real Madrid - Arsenal] £42.4m

Daniel Pacheco [Liverpool - AD Alcorcon] Undisclosed

Nick Powell [Manchester United - Wigan] Loan

Peter Ramage [Crystal Palace - Barnsley] Loan

Abdul Razak [Manchester City - Anzhi Makhachkala] Loan

Jamie Reckord [Wolves - Plymouth] Loan

Bradley Reid [Wrexham - Wolves] £200,000 (reported)

Mamadou Sakho [Paris St-Germain - Liverpool] £18m

Stephane Sessegnon [Sunderland - West Brom] Undisclosed

Ryan Shotton [Stoke - Wigan] Loan

Cameron Stewart [Hull - Charlton] Loan

Jayden Stockley [Bournemouth - Leyton Orient] Loan

Conor Townsend [Hull - Carlisle] Loan

Marcello Trotta [Fulham - Brentford] Loan

Nathan Tyson [Derby - Blackpool] Free

Alvaro Vazquez [Getafe - Swansea] Loan

Emiliano Viviano [Palmero - Arsenal] Loan

Cauley Woodrow [Fulham - Southend] Loan

Marvin Zeegelaar [Elazigspor - Blackpool] Loan

Elsad Zverotic [Young Boys - Fulham] Undisclosed

0 comments:

PAMOJA NA KUMSAJILI FELLAINI,TATIZO KUBWA LA MANCHESTER UNITED NI KUTOKUWA NA MAWINGA MACHACHARI.……



Hapo jana usiku Manchester United ilikamilisha uhamisho wa kiungo Maroune Fellaini,pamoja na kuukamilisha usajili huo ambao umewafurahisha mashabiki wa timu hiyo nadhani kuna maeneo ambayo yalitakiwa kupewa kipau mbele kabla ya dirisha Learn more »

0 comments:

Taarifa kamili wa usajiri wa hivi punde,Balle,Feraine.........

Leo September 2 ya mwisho ya dirisha la usajili barani ulaya - vilabu kadhaa vimekuwa busy katika siku hii kuhakikisha wanaimarisha timu zao. Mtandao huu utakuwa unakuletea taarifa zote zinazohusiana na usajili barani ulaya. Ungana nasi.................
Learn more »

0 comments:

Hatimaye Kiggy kupasuliwa India wiki ijayo

Hatimaye kiungo wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Kiggy Makasy, anatarajiwa kuondoka nchini Jumatatu ijayo ya Septemba 9 mwaka huu kwenda India kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa goti la kulia imeelezwa jana na uongozi wa klabu hiyo.
Learn more »

0 comments:

Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya

  Wamo CCM, Chadema
Dk. Khamis Kigwangallah
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk. Khamis Kigwangallah, amesema amepokea majina ya wabunge, viongozi wa serikali na wafanyabiashara maarufu nchini ambao ni mapapa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Learn more »

0 comments:

Waziri Kagasheki: Kashfa nzito

Kambi ya Upinzani Bungeni imemshushia tuhuma nzito Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (pichani), ikiwamo ya kushinikiza  mradi  upewe msaada wa Sh. milioni 10 kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kinyume cha taratibu.
Learn more »

0 comments:

Kanisa lachomwa moto upande mmoja wa paa

Watu wasiofahamika wamefanya jaribio la kuchoma moto upande mmoja wa paa la nyumba ya ibada ya waumini wa dini ya kikristo ijulikanayo kama Listuliation Bible Church, iliyopo katika eneo la Kisosora jijini hapa.
Learn more »

0 comments:

Watendji wabovu kucharazwa viboko

Diwani wa kata ya Busonzo wilayani Bukombe amewaagiza wananchi kuwakamata na kuwacharaza viboko watendaji na wenyeviti wa vitongoji wanaoshirikiana na matapeli kuwaibia watu wanaotuhumiwa kuwa wahamiaji haramu.
Learn more »

0 comments: